Uhawahi kusikia nchi inayoitwa Papua New Guinea? Hii ni nchi iliyopo Mashariki ya mbali katika bara la Asia. Nchi hii ina misitu minene ya asili ambayo baadhi ya maeneo yake yana makabila ambayo hayafahamiki hapa duniani, na mengine bado yana tamaduni za kula nyama za watu MFANO: KABILA LA MAMBERANO. Kwa hiyo ina maana kwamba kama wewe u mgonjwa unaliwa nyama.Jaribu kutembea tovuti hii hapa www.papuatrekking.cz